Ama kama heading ilivyozungumza, kumbadilisha mtu, kumtoa kwenye sehemu mbaya kumpeleka sehemu nzuri, au kumwachanisha mtu na maasi ama ulevi ama uzinzi.
Hutakidi kuona mja wako anafanya mambo yasiyoeleweka, basi Mwenyezi Mungu naomba unisaidie juu ya hili pindi nitakapo nazi hii nitakuisomea dua hii na nazi hii nitakapo isambaratisha.
Wakati mwingine inakuwa pengine ni mazoea lakini wakati mwingine inakuwa ni uswahili vile vile unachangia maana watu wanarogana kila kukicha inaweza kuwa ni uswahili umefanyishiwa ili uwe mlevi.
Usiache uwe mlevi uharibikiwe na maisha yako basi pia una uwezo wa kuchukua nazi hiyo ukafanya dua hii ukajinuilia Mwenyezi Mungu kama nilifanyiwa mimi niwe mpotevu niwe mlevi kwa kupindukia niache kufanya mema niache kufanya herati basi pindi nazi hii nitakaposomea dua hii al-Jumati Mwenyezi Mungu nikaasambaratisha katika njia panda basi Mwenyezi Mungu ubaya huo ule ulevi huo unatokee moja kwa moja ya Ilahi.
Bismillahirrahmanirrahim. Allahumma inni ajhaztu wa ajhaztu ajhaztu hadhal jami'a yatafarra'u wala yakadu yus'i'uhu wa ya'tihi al-mawtu min kulli makan.
Wa ma huwa bi mayyitin wa min wara'ihi 'adhabun ghaliz. Allahumma inni as'aluka bil-jamm'iyyati wa bil-asma'illahi al-qawiyyati qasmihim al-mubliyyati alam tara ila alladhina kharaju.
Wa khadzaftuhum wa nazzaqtuhum wa mazzaqtuhum Allahumma wahhad arkanahum wa farraq jam'ahum wa shattat shamlahum wa khalif amrahum wa mashurahum wa aw.
Sayuhzamul jam'u wa yuwalluna al-dubur bal al-sa'atu maw'iduhum wa al-sa'atu adha. Wa sallallahu 'ala sayyidina Muhammadin wa 'ala alihi wa sahbihi wa sallam.